KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 25 May 2013

UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA

UMOJA WA AFRIKA MAFANIKIO NA MATATIZO YA AFRIKA.
Nina machache tu ya kusema,Afrika tunamafanikio mengi lakini MATATIZO ni mengi ingawaje ukiwauliza MARAIS wetu watakuambia kwa Majigambo tunamafanikio mengi.
Kila jambo linauzuri wake na ubaya wake.
MATATIZO ni NJAA na VITA.
Kama tunashindwa kuzalisha Chakula chetu tunategemea Msaada kutoka Ulaya kweli tuna UMOJA WA KUJIVUNIA?
Vita kama Mali na Somalia tunahitaji Msaada kutoka Ulaya,sisi hatuna mipango yetu ya Ulinzi?Ukiangalia Nchi ya Mali mpaka WaFaransa wakasaidia Rais wa Mali anafanya nini?
Asanteni.
 
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS