KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 6 May 2013

UJUMBE USALAMA WA NCHI YETU UPO HATARINI-DALILI YA MVUA NI MAWINGU

                                                                      MAONI-
Ninapenda kuongelea suala la Ulinzi kwa Taifa letu ambalo tunajivunia Amani lakini Nchi yetu haina Amani kama tunavyojivunia sisi wananchi.Ukianzia na mauaji ya watumishi wa Makanisa na Misikitini.
Nchi yetu iliishapewa taarifa na Wamarekani ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa Nchi kushambuliwa na Magaidi.
Ujumbe huo nafikiri ulikuwa na umuhimu kwa Taifa letu kuwa makini na nyendo za baadhi au vikundi vya watu wanaonekana kuwa tishio kwa Taifa letu.
             Tuanze kuangalia kazi ya USALAMA WA TAIFA nini?kuna siku wabunge waliuliza kazi ya usalama wa Taifa ikawa kama ni kuingilia au kutafuta udadisi husio na maana.Sasa imefika wakati wa kufuatilia nyendo za Watu kwa kuangalia Mitandao yaani Mawasiliano yote yanasaidia kueneza na kujaribu kufanya kazi za kigaidi.
UJUMBE HUU KWA USALAMA WA NCHI YETU.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS