KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 16 May 2013

MAFUTA YALITUMIKA KUKAANGA CHIPS YANAVYOTUMIKA TENA KAMA DIESEL KWENYE MAGARI.JE WAJUA?MAFUTA HAYO YALIKWISHA TUMIKA YANATUMIKA PIA KWA KUTENGENEZEA VYAKULA TENA VYA MIFUGO.HAKUNA KITU CHA KUTUPA TENA.

Leo nimekutna na Kampuni inayofuatilia na kununua Mafuta Machafu yaliyotumika kukaangia Chips,maandazi na Samaki.Picha hii juu inaonyesha mafuta yaliyotumika yakiwa kwenye Magaloni baada ya kutolewa kwenye vikaangio. 

Gari linalokusanya hayo mafuta kila galoni ni sh 2600.

Gari likiendelea kupakia mafuta hayo kutoka kwenye Hotel inayohudumia watu 400 kwa siku kwa Vyakula mbalimbali.



Hii ni sehemu ya kuhifadhi mafuta yaliyotumika kuna tanki la kuhifadhi lita 700.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS