KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 22 April 2013

LIVERPOOL WAMKATA MSHAHARA WA WIKI 2 LUIS SUAREZ KWA KUMUUMA MCHEZAJI WA CHELSEA

 Mchezaji anayetegemewa kuuzwa kwa bei kubwa duniani lakini sasa itakuwa ngumu maana ana vituko vingi vinavyopunguza thamani yake.

 Kocha wake hana hamu maana inatia aibu sana kwa timu ingwaje alisawazisha goli.Tusubiri adhabu atakayopewa na chama cha mpira wa miguu Uingereza.




No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS