KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 8 April 2013

KOREA YA KASKAZINI INAVYOWAPA TAABU WAMAREKANI-LAKINI WAMAREKANI KWA KUTUMIA DIPLOMASIA WAMETULIA .HUYU KIONGOZI KIJANA WA KOREA HAJUI HISTORIA YA VITA VYA PILI VYA DUNIA WAJAPANI WALIPOPIGWA NA BOMU LA ATOMIKI KUTOKA MAREKANI




Makombora ya masafa mafupi yanaweza yakaharibu Mji wa Seoul  Korea ya Kusini yakipigwa kutoka Korea ya Kaskazini.
 Kombora la masafa marefu likipigwa linatua Hawaii Marekani na Wakorea wa Kaskazini wanasema wanaweza kupiga mpaka Washington kwenye Ikulu ya Marekani.
Makombora ya Masafa ya kati ambayo yanaweza kusambaratisha vituo vya kijeshi vya Marekani katika bahari ya Pasifiki na Korea ya Kusini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS