KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 28 April 2013

PESA INAVYOSUMBUA WATU-VITUKO AU MAJIGAMBO YA MASTAA WA DUNIANI NI MICHAEL JORDAN MCHEZA BASKET BALL ALIYEKUWA AKICHEZEA CHICAGO BULLS

Michael Jordan 23 namba yake ya jezi akiwa na mpenzi wake Yvete Prieto wakiwa wanaangalia mechi.Huyu ni mchumba baada ya kumpa taraka mke wake wa kwanza waliyeishi naye miaka 17 alikuwa na watoto wawili wa kiume.

 Arusi hii ya Michael Jordan imefanyika kwenye Hema ambalo ni kubwa kuliko nyumba ya MJ,hili hema limekusanya wageni 2500 kwa wakati mmoja na vifaa vya muziki vilikuwa vimebebwa na magari makubwa yenye tera futi 40 manne.
Hili ni hema ambalo lilikusanya watu 2500 ndani kwa ajili ya arusi ya Michael Jordan na huyo mrembo wa zamani 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS