KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 8 April 2013

MARGRET THATCHER AU BARONESS THATCHER MWANAMKE CHUMA AAGA DUNIA KWA KUPATA STROKE LEO.NI MAJONZI KWA WANANCHI WA UINGEREZA NA DUNIANI KWA KUONDOKEWA MAMA HUYU JASIRI.

 Baada ya kuchaguliwa kuwa Waziri mkuu wa kwanza Mwanamke Uingerza mwaka 1979 katika ofisi ya Nyumba namba 10 alipata nafasi ya kuongea na Wanahabari mbalimbali nje ya Ofisi yake.
 Alipinga harakati za ANC za kutumia nguvu lakini mwisho wake walikubali na kuwatambua ANC mwisho wake wakasaidia mpaka Mandera kutolewa gerezani mwaka 1990 na kutembelea Uingereza Nelson Mandera.
 Akiwa mshirika wake Mkuu Rais wa Marekani enzi hizo R.Reagan wakiangalia gwaride la heshima.
 Yeye ndiye alikuwa Jemedari mkuu wakati wa vita vya Farkland kati ya Uingereza na Arjentina mwaka 1979
Akiwa na wabunge wake walipomtembelea Malkia Elizabeth mwaka 1985.
Alipotembelea Zambia mwaka 1988 akicheza muziki na Rais K.Kaunda enzi hizo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS