KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 23 March 2013

SCOUT SCOUT DUCHESS OF KATE AKIWA KATIKA SHUGHULI ZA SCOUT


Akiwa na viongozi wa scout wakitazama maonyesho ya watoto ndio kazi za jamii wanazofanya watu mashuhuri.
 Kuuliza sio ujinga naye Kate akimuuliza kiongozi wa Scout jinsi ya kuwasha moto kwenye barafu kama inavyoonekana katika picha.
Wakichoma mikate kwa kienyeji ndio kazi ya Scout nzuri sana na kwa watoto ni nzuri kujiunga nayo maana inawajenga kuwa wakakamavu na wavumilivu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS