KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 13 March 2013

PAPA FRANCIS WA KWANZA KUTOKA ARJENTINA

 Mapapa wakiingia kwenye ukumbi wanaokaa kwa ajili ya kumchagua Papa hawatoka mpaka Papa apatikane.
 Waandishi wa habari walitabili Makadinali watano kuwa watakuwa Mapapa,Waliambiwa kuwa Papa sio kama siasa hiyo intoka kwa Mungu sio wanadamu.Hapa wakiwapiga Picha Makadinali wanaoweza kuchaguliwa lakini hakuna hata mmoja waliomchagua kapata Upapa,
Misa iliyokuwa ikiendeshwa kwa ajili ya kuwaombea makadinali wamchague Papa,baada ya misa Makadinali waliingia ndani ya ukumbi maalum ili waweze kumchagua Papa mpya.
 Kila Kadinali aliapa kutunza siri na Kadinali Pengo naye alikuwepo.
Papa mpya aliyechagua jina la Mtakatifu Francis wa Asisi,aliyekuwa akitangaza Dini kwa kutembea kwa Miguu na kuwasaidia maskini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS