KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 17 March 2013

SADDAM HUSEIN IRAQ RAIS ALIYEWASUMBUA WATU WA NATO NCHI ZA MAGHARIBI-ENZI ZA UHAI NA UTAWALA WAKE SASA NI MIAKA 10 TANGU ALIPONYONGWA

 Enzi za utawala wa Saddam Husein aliyekuwa akiwapiga na kuwatesa wa Kurdi ambao walikuwa wakitaka kujitenga na kuanzisha Taifa lao la Kurdish.Akiwa kiongozi mwanajeshi aliamua nchi yake Kuivamia Kuwait na waMarekani walianzisha vita kwa kushirikiana na NATO na vita ilikwisha na Saddam kubakia Madarakani.Marekani na NATO walisema Iraq ina silaha za maanagamizi makubwa kwa Silaha za Sumu na kuanzisha vita iliyomtoa madarakani Saddam kumkamata na kisha Kunyongwa.
 Siku alipokamatwa Saddam Husein kwenye shimo akiwa amelala.daktari hapa akimwangalia meno au akichunguza Afya wa Saddam
 
Saddam akiwa mahakmani akitafakali.
 Mahakamani Saddam Husein alitoa maneno makali ya kuwashutumu WaMarekani kwa kuivamia nchi yake na kumtoa madarakani.Lakini haikusaidia kitu walimuhukumu kunyongwa mpaka kufa kwa sababu alisababisha mauaji ya watu wa kabila la Kurdi kwa kuwapiga na mabomu ya Sumu.
 
Mwisho wa Saddam ulipofikia kikomo kwa kunyongwa mpaka kufa.Nilisikitika kwa kuona mtu anavyonyongwa inavyokuwa.Ingawa wanasema anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upanga.Saddam naye alimuua kiongozi aliyemtoa madarakani kwa kunyongwa hivyo hivyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS