KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 18 March 2013

PAPA FRANCIS ATEMBELEWA NA RAIS WAKE CRISTINA FERNANDES KUTOKA ARJENTINA

Papa Francis 1 akimkaribisha Rais wake wa zamani Cristina Fernandez Vatican leo.Papa sasa ni mtu wa Vatican anahudumia dunia sio Arjentina.Mwanamama huyo amekuja na ujumbe kwa Papa awasidie ili warudishiwe visiwa vya Farkland.
Watu wa visiwa vya Farkland vilivyopo Arjentina vinatawaliwa bado na Uingereza,Wiki mbili zilizopita wananchi walipiga kura ya kuhamua kubakia kwa Uingereza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS