KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 2 November 2020

TANZANIA SABABU ZILIZOSABABISHA UPINZANI KUSHINDWA KWA KISHINDO NI KAMA HIZI ZA KUSUSIA BUNGE KWA KUFIKILI WANANCHI WANAPENDA AU WANAWAUNGA MKONO.UPINZANI KUTUMIA STAILI ZA NCHI ZILIZOENDELEA WAKATI WATANZANIA BADO HAWANA ELIMU KUBWA YA UPINZANI.

Upinzani kutokuwa na ujuzi wa kujua wananchi wanataka nini?mfano Chadema walikuwa na tatizo la baadhi ya wabunge kutoa malalamiko kwamba chama chao kiliwakata pesa kwa ajili ya kuendesha chama ile kashfa ilikzimwa na kuelezwa na msemaji wa chama lakini kwa muda mrefu huku wananchi hawajui kinachoendelea Tukirudi kwa wenzetu wa Zanzibar wao walifukuzwa Bungeni kwa kufuata kauli ya Maalimu Seif hawakurudi tena mpaka uchaguzi huu kwa makosa hayo ni mojawapo ya sababu kubwa kushindwa kwa upinzani. Kazi sasa ni upinzani kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao na sio kuandamana Watanzania ni Wajumbe hawataki taabu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS