KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 9 April 2015

AJALI TENA WATU 10 WAPOTEZA MAISHA,KWELI KAZI HATUNA YA KUFANYA IMILI KUZUIA AJALI,SIWEZI KUSEMA NIMEISHA WAANDIKIA WAHESHIMIWA MAONI KUHUSU KUZUIA AJALI,MHESHIMIWA MMOJA AKAANDIKA KUHUSU AJALI SASA IWE NI JANGA LA KITAIFA NINASHUKURU KWA MHESHIMIWA HUYO KUSEMA.WENGI WETU TUPO KIMYA KWA SABABU HATUJUI KWA NINI AJALI ZINAONGEZEKA KILA SIKU


Tangu  ilipotokea ajali ya barabarani eneo la Changarawe Iringa ambayo ilitokana na basi la abiria la Kampuni ya Majinjah Express kugongana na lori, stori zikaendelea kuwa nyingi kwenye vyombo vya habari, nyingi zikiandikwa kuhusu vyanzo vya ajali hizo.
Ajali nyingine tena imetokea Tanga leo APRIL 9 2015, taarifa za awali zinasema watu 10 wamefariki na wengine wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkata, Wilaya ya Handeni Tanga, gari zilizopata ajali hiyo ni basi la NGORIKA, jingine la RATCO pamoja na gari nyingine ndogo.



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS