KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 1 April 2015

UINGEREZA NA UCHAGUZI CHAMA CHA CONSERVATIVE NA LABOUR WANAVUTANA KWA ASILIMIA INGAWA KURA ZINABADILIKA KILA WAKATI KUTOKANA NA MANENO YA KAMPENI NA MAHOJIANO NA WANA HABARI


 Cameron na chama chake cha Conservative yeye ansifika kwa kukuza uchumi ana kura za maoni 34%
 Milliband na chama chake cha Labour yeye na Cameron ndio wanoongoza katika kura 34%

Farage na chama chake cha UKIP anakuja juu kwa siasa zake.
Nick chama chake cha Liberal Demokrat anazidi kupoteza umaarufu wake baada ya kukubali Tuition Fees.Sasa wataalamu wanasema anaweza kupoteza jimbo lake la Uchaguzi kutokana na uchunguzi uliofanywa na Ashcroft.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS