KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 17 December 2014

IRINGA CHADEMA YASHINDA KATA 13 BAADA YA MARUDIO YA KURA.SASA KAZI KWAO CCM


WAKATI jana   wananchi  wa  mitaa 11  katika manispaa ya  Iringa  wamefanya marudio  ya  uchaguzi  wa serikali  za mitaa  chama cha  demokrasia na maendeleo  (Chadema)  kimefanikiwa  kukizika rasmi  chama  cha mapinduzi (CCM) baada  ya  kuibuka  kifua mbele  katika  mitaa  yote  ukiwemo mtaa  nyeti  wa ofisi ya mkuu  wa  mkoa na ofisi ya  CCM mkoa.
Ushindi  huu  kwa  chadema  umeelezwa kuwa ni  wa  kimbunga na ni  kipimo  kwa CCM  kujitathimini baada ya Chadema  kuonyesha  kufanya kufuru  hiyo kwa  kuchukua mtaa hadi  wa makao makuu  ya CCM..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS