KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 17 June 2012

TASWIRA ZA MATUKIO YA MKUTANO WA EUROPEAN LEADERSHIP AND HUMAN RIGHTS:PROTECTION OF THE UNEMPOWERED AND THE DISPOSSESSED,LONDON,15-17JUNE 2012

 Mshiriki kutoka Tanzania Alistidia Rugaitika akiwa katika mkutano wa European Leadership and Human rights:Protection of the Unempowered and the Dispossessed uliomalizika jioni hii jijini London  katika jumba la Bunge la Uingereza.
Mshiriki kutoka Tanzania katikati akiwa na mshiriki kutoka Uganda kulia Mr Amone na msemaji kwenye huo mkutano Mr Keith Best ambaye ni Chief Executive,Freedom From Torture UK
 Baadhi ya washiriki wengine walioshiriki kwenye mkutano huo,kutoka kushoto mshiriki kutoka Cameroon ambaye pia ni mwandishi wa habari,Tosamawe kutoka Tanzania,Mr Amone toka Uganda na mshiriki kutoka Rwanda
Mshiriki Alistidia kutoka Tanzania akipata maelezo kutoka kwa Dr Antonio Stango(The Secretary General of the Human Rights Italy and a UPF Global Peace Council Member).
Kutoka kulia ni mshiriki Tosamawe,Alistidia na Mr Ingo Dammann kutoka Ujerumani ambaye ni  coodinator of youth for human rights  na shirika lake linaitwa kwa Kijerumani Jugend fur Menschenrechte Berlin.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS