KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 16 June 2012

TOSAMAWE NINASHIRIKI MKUTANO WA EUROPEAN LEADERSHIP CONFERENCE -Human Rights;Protection of the Unempowered and the Dispossessed~London,United Kingdom 15- 17 June 2012 katika Jumba la Bunge la Uingereza.TOSAMAWE NA MKE WANGU TUNAWAKILISHA kwa kuwaelezea tunahitaji kuwajengea Watoto uwezo wa kuja kuwa jamii nzuri kwa maisha yao ya baadaye.MATUKIO YOTE NITAWALETEA BAADAYE



Watoto wetu wanahitaji kupendwa na kitu muhimu zaidi ni kufuata HAKI ZA BINADAMU.Tosamawe na Mke wangu tumewakilisha maoni yetu katika mkutano huu wa LONDON.Tupo na watu wa mataifa yote duniani na wale wenzetu wa Nchi zilizoendelea tumeonana na kuzungumza,kinachofuata ni utekelezaji Mungu tubaliki ili tuweze kufanya kazi kwa ajili ya wananchi wetu wote.
Mungu wetu ametupa nguvu ya kufanya kazi ya kusaidia jamii,tunasaidia kituo kimoja cha watoto Yatima Bukoba kinaitwa Kashai na mategemeo yetu ni kuendelea kuwasaidia wasiojiweza.



No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS