KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 27 July 2023

BANDARI YETU NA DP NA HUJUMA ZA KUPATA KITU KIDOGO RUSHWA KWA WATENDAJI WA BANDARI NDIO CHANZO CHA KUPATA MIKATABA MIBOVU

Nchi yetu na watu wetu yaani wafanyakazi wa Bandari wao ndio chanzo cha matatizo yote yanayotuua na kukosesha mapato ya Serrikali. Nchi yetu viongozi kama Waziri Mkuu huyo ndio Mkuu wa serikali lakini hakuna cha muhimum tunaweza kujivunia kutoka kwa Waziri mkuu. Watu wanafahamu utendaji wa Waziri Mkuu anaongea lakini hakuna utendaji wa kina .wafanyabiahara Kariakoo kugoma na matatizo mengi Waziri wetu mkuu aliyatolea maelezo lakini yameenda na maji.Kazi ya Waziri wetu mkuu ilikuwa ni kufuatilia kwa ndani masuala muhimu lakini ndio tabia zetu hakuna shida mpaka Bandari inazidiwa na Wakenya ili mradi wale viongozi wahusika wa Bandari kupata nafasi ya kupata pesa zao mfukoni na kuua Bandari yetu wakati viongozi wetu wapo kimya. Awepo DP ila mkataba urudiwe na kubadilishwa vipengele vingi ili tuwe na nafasi ya kuimiliki Bandari yetu Asanteni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS