KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 29 January 2015

HUDUMA YA CARE UINGEREZA YAPANDA,WATU WENGI HAWANA ELIMU YA JINSI YA KUWEKA AKIBA KWA AJILI YA UZEENI.HILI NI TATIZO KWA WALE WAGENI.

Ukiwa unaishi kuna msemo wa FAINALI UZEENI,hii watu wengi hawaijui ni janga kwa kizazi kinachotegemea ruzuku kutoka serikalini.Ukiwa mgeni umehamia Ulaya na kuishi unaona kila kitu ni rahisi lakini hawakumbuki kwamba kila kizuri kimeumbwa.
Asilimia 90 ya wahamiaji kutoka nchi za dunia ya tatu wanaishi kwa kutegemea serikali,watoto wanapewa Ruzuku na Wazazi hawafanyi kazi ya kujilimbikizia Pesa kwa ajili ya maisha ya Uzeeni.Wazawa wenyewe waliisha jiwekea kila kitu sawa.Muhimu kizazi cha kuhamia wataishia kuwa pale pale na baadaye wataijua Ulaya sio Mchezo ni kazi kazi.
Nawakilisha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS