KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 15 December 2012

AJALI AJALI AJALI,NI UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU KUWAWEKA WATU WALIOFARIKI KAMA MIZIGO YA KUNI



Ajali zinaweza kupunguwa kama Polisi wakifanya kazi za ziada kukagua magari kila siku na kuakikisha kuwa kila Basi linarekodi yake.Kuna magari yanapata Ajali ukiangalia chini ya Engine wamefunga kamba lakini hakuna wa kuulizwa.Abiria amelipa Nauli mwenye basia hachukuliwi atua za kisheria.
Upakiaji wa maiti namna hii ni kutokuwatendea haki Maiti,hata kama hawasemi,kwa Iringa mjini walijengewa chumba cha maiti na Tajiri ambaye mtoto wake alifariki baada ya kupata ajali na maiti yake kuwekwa kwenye chumba cha maiti,Baba ya huyo binti alishangaa mtoto wake kulazwa sehemu hisiyofaa na kuamua kuwajengea Chumba cha maiti chenye jina la mwanaye.Kwa hiyo tujitahidi kuwaweka vizuri maiti wetu walikuwa watu muhimu kabla ya kifo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS