KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 11 April 2012

NDANI YA UWANJA WA WOLVEHAMPTON WANDERERS HII WANDERERS INANIKUMBUSHA IRINGA CITY KULIKUWA NA TIMU INAITWA AFRICAN WANDERERS MASKANI YALIKUWA IRINGA MJINI MIYOMBONI


Mpira bado kuanza wanamwagilia maji majani ili wachezaji wasiumie wakiteleza kufuata mpira

Siku hiyo kabla ya mpira kuanza watu wote walisimama ili kumwombea dua Fabrice Muamba

Balooni linaloonekana juu ni kwa ajili ya matangazo ya Tairi lilikuwa mbali kamera yangu nilichelewa kuzoom 

Hizo ni sehemu za uwanja wamezipanga kwa ajili ya familia na walemavu hapo panapo onekana sehemu ya kati bei yake ni kubwa mishahara ya watu watatu wanakaa wakurugenzi na watu mashuhuri wanapewa mpaka chakula na vinywaji.ukiwaangalia wao wanaongea tu hawaangalii sana mpira.

Wakati wa mapumziko watu wanaenda kula na kunywa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS