KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Wednesday 25 March 2020

KABUL AFGHANISTAN MASINGA SINGA WAUAWA NA GAIDI WA ISIL ALIYETUPA BOMU NA KUPIGA RISASI WATU 25 WAFARIKI NDANI YA JAMAT LA MASINGA SINGA GAIDI AMEUWAWA NA ASKARI WA AFGHANISTAN

 Askari wakiwa nje ya Jamat la Singa Singa na kufanikiwa kumuua Gaidi
Jamii ya Singa Singa wakienda Jamatini kuwatambua ndugu zao.Afghastani Masingasinga wamekuwa wakitishwa na Taliban waondoke warudi kwao India ikiwa ni njia mojawapo ya kuwaabagua hao Masingasinga ambao wamezaliwa Afghanistani wamekulia hapo na Maisha yao ni hapo Afghastani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS