KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 6 March 2014

VITA URUSI NA UKRAINE UMOJA WA MATAIFA,MAREKANI,UINGEREZA JUMUIA YA ULAYA NI MANENO YA SIASA TU,FUNZO LA SYRIA BADO TU SASA NI SIASA NDIO MAANA AFRIKA UWA WANAKAA KIMYA

 Wananchi wa Ukraine wakiwa na mabango ya kumpinga Rais wa Urusi Putin kwa kupeleka Wanajeshi wake nchini Ukraine ni kama uvamizi lakini Urusi wanasema waliombwa na Bunge la Ukraine
 Wanajeshi wa Urusi wakiwa ndani ya Ukraine wakilinda doria kwa Meli na Helikopta na magari ya vita.
ukizubaha tu unaweza ukashambuliwa,dada akifagia ofisi ya serikali huku askari wa Urusi wakilinda Ofisi za serikali ya Ukraine.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS