KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 8 March 2014

NDEGE YA MALAYSIA IKIWA NA ABIRIA 231 YAPOTEA ANGANI INASADIKIWA KUANGUKA KATIKA PWANI YA VIETNAM WAKATI ILIKUWA IKIELEKEA CHINA


 Ndege hii Boeing 777 imepata ajali jana usiku na hakuna taarifa za kuonekana kwa hiyo Ndege.
 Ngugu walioenda kuwasubiri Ndugu zao Wakiangua kilio baada ya kuambiwa Ndege imepotea.
Kaka huyu akilia kwa uchungu ajali zinapoteza maisha ya watu sana na Usafiri wa anga ndege moja kubwa inaweza kubeba abiria zaidi ya 300

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS