KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 24 March 2014

URUSI INAVYOWAUMIZA WATU WA ULAYA NA USA,LEO RAIS OBAMA ATANGAZA KUIWEKEA URUSI VIKWAZO ZAIDI,LAKINI NCHI ZA ULAYA ZINATEGEMEA SANA GESI KUTOKA URUSI KUTOKA THE HAGUE HOLLAND KATIKA MKUTANO WA NCHI G7 NA URUSI WAMEITOA ILIKUWA G8.TATIZO NI SUALA CRIMEA KUPIGA KURA NA KUJIUNGA NA URUSI.


 USA Rais Obama anasema Urusi iwekewe vikwazo zaidi lakini nchi za Ulaya zinawasiwasi kwa sababu Urusi wao wanamfumo mzuri wa Kibank kwa hiyo ahitawasumbua na Gesi nayo ni kazi kubwa kwa nchi za Ulaya.

Wananchi wa Urusi wakiwakaribisha Watu wa Crimea kwa kuwaambia karibuni Nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS