KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 23 November 2013

ENGLAND TIMU HISIYO NA UTAMBULISHO WA KIMPIRA ILA INAPAMBWA NA VYOMBO VYA HABARI.

Mpira wa miguu au Football wanavyoita inakazi kubwa sana kucheza kutokana na mabadiliko ya kiufundi au mbinu.
England waanzilishi na watawala wa zaidi ya nchi 58 duniani wamekuwa wazuri kwa kuitangaza ligi yao na kufatiwa na nchi zote za Jumuia ya madola,kweli mpira wa Uingereza unazidi kwenda kombo.
Mechi mbili za kirafiki Waingereza wamefungwa kama wamesimama Chile imewafunga 2-0 na mwisho wamefungwa 1-0 na Wajerumani.

Kutokana na mfumo wa kufundisha mpira kutoka kwa Watoto Uingereza wamekuwa wakitumia mbinu za mwaka 1947 kutokana na hilo wamejikuta kila siku wakifungwa na kutokuendelea mbele kwenye fainali za kombe la dunia.
Muhimu kujiwekea Utambulisho wao ni wataalamu katika mpira wa miguu kwa kufuata mbinu kutoka nchi zilizokuwa za kijamaa kwa ufundishaji wa mpira kwa vijana na watoto.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS