KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday 10 February 2014

UINGEREZA UHAMIAJI TATIZO KUBWA,WAZIRI WA UHAMIAJI HAACHIA NGAZI BAADA YA KUGUNDUA ALIMWAJIRI MUAMIAJI HSIYE KUWA NA VIBALI VYA KUISHI UINGEREZA.

Ni waziri wa Uhamiaji Mark harper amejiuzulu Uwaziri wa Uhamiaji baada ya kumwajiri Isabela Acevedo kutoka Amerika ya kusini kwa kazi ya Usafi wa ndani na kunyoosha nguo.Kashfa kubwa wanasema alikuwa akipewa £ 2000 kwa ajili ya kuajili mfanyakazi na alikuwa akimlipa £ 22 kwa Wiki huyo Muamiaji haramu. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS