KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Thursday 6 February 2014

MAAJABU MVUVI WA SAMAKI AINA YA PAPA ALIPOTEA BAHARINI MWAKA MMOJA NA MWEZI MMOJA AOKOLEWA HAI AKIWA AMINI MACHO YAKE KUONA WATU WANAMUULIZA UNAFANYA NINI HUKU PEKE YAKO ALICHOSEMA NI (MUNGU MUNGU WANGU)

 Aliyepotea miezi 13 baharini El-Salvador aokotwa Mexico akiwa hai na alikuwa akila ndege na kunywa mikojo yake na damu za ndege au samaki.Akiwa ana mtumbwi ulio wazi Bahari ya Pasifiki.Hapa akiwa na Nurse akimsaidia kwenda hospitalini.Hii ni habari mpya kwa sasa duniani.Ni maajabu kwa mtu kuishi baharini ndani ya mtumbwi ulio wazi akipigwa na mvua,upepo.
 Hapa ni Wazazi wake na ndugu wakiomba Mungu kwani waliamini mwanao aliisha kufa zamani lakini wakapewa taarifa kwamba ameokotwa baharini.Hawakuamini ila walimshukuru Mungu kwa kusali.
Hapa baada ya kunyoa ndevu na Nywele akiojiwa na waandishi wa habari lakini alishindwa kuongea vizuri kwa sababu ya uchovu na mawazo ana mke na watoto wanamsubiri.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS