KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 3 February 2013

PPF TOWER YASHIKA MOTO GHOROFA YA 11 BAHATI NZURI ZIMAMOTO WAZIMA HUO MOTO.MAJENGO MAREFU YANATISHIA MAISHA YA WATU YAKIANZA KUUNGUA,TUWE NA VIFAA VYA KUZIMIA MOTO VINAVYOENDANA NA MAENDELEO

Taarifa zinasema kuwa,hitilafu ya umeme iliyotokea kwenye mitambo ya mawasiliano iliyopo katika chumba cha 11, kilichopo juu, mwisho kabisa mwa jengo la minara ya PPF lililopo kwenye makutano ya Ohio/Garden Avenue, katikati ya jiji la Dar es Salaam ndiyo iliyosababisha moto asubuhi ya leo majira ya saa moja, na kusababisha jengo hilo ushika moto.
Moshi ukiwa umetanda juu ya jengo la PPF kwenye makutano ya Ohio na Garden,bahati nzuri au njema kikosi cha zimamoto waliweza kuuzia moto huo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS