KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 10 February 2013

ARUSI-STACHA NA DINES COVENTRY YAFANA JANA JUMAMOSI

 
 
Siku ya jumamosi ilikuwa ni furaha katika arusi kati ya Bwana Stacha kutoka jiji la Coventry na Dines kutoka Jiji la Birmingham.Maharusi hao walikuwa na furaha kubwa baada ya kufunga ndoa kanisani na kisha katika sherehe iliyofanyika katika Ukumbi wa Muslim Resources centre.Zaidi ya watu 200 waliudhuria hiyo sherehe.
Kikundi cha kinamama wakicheza muziki wa Kiburundi ilikuwa furaha.
 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS