Sunday, 2 March 2025
URUSI WASEMA MKUTANO WA LONDON NI MKUTANO WA KUPINGA MPANGO WA AMANI UNAOENDESHWA NA USA NA URUSI,KWA SABABU NCHI NYINGI ZA ULAYA ZIPO KINYUME NA USA,MFANO MKUTANO ULIOFANYIKA ULAYA NA USA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI ALIWAJIA JUU ULAYS KWA KPINGA SERA ZA MAREKANI KWANI ALIWAAMBIA HAYO NI MATAKWA YA WANANCHI WA MAREKANI.
Ukisikiliza sana na kufuatilia kuna mgongano Katie ya nchi za Ulaya na USA kutokana sera za Marekani za kuweka lodi kubwa kwa Ulaya,kuwaambia waongeza bajeti ya Ulinzi na Marekani itajitoa NATO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment