KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday, 2 March 2025

PAPA FRANCIS AWEZA KUKAA KWENYE KITI NA KUNYWA KAHAWA.TUZIDI KUMWOMBEA ILA APONE HARAKA NA KURUDI KANISANI

URUSI WASEMA MKUTANO WA LONDON NI MKUTANO WA KUPINGA MPANGO WA AMANI UNAOENDESHWA NA USA NA URUSI,KWA SABABU NCHI NYINGI ZA ULAYA ZIPO KINYUME NA USA,MFANO MKUTANO ULIOFANYIKA ULAYA NA USA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI ALIWAJIA JUU ULAYS KWA KPINGA SERA ZA MAREKANI KWANI ALIWAAMBIA HAYO NI MATAKWA YA WANANCHI WA MAREKANI.

Ukisikiliza sana na kufuatilia kuna mgongano Katie ya nchi za Ulaya na USA kutokana sera za Marekani za kuweka lodi kubwa kwa Ulaya,kuwaambia waongeza bajeti ya Ulinzi na Marekani itajitoa NATO.

ULAYA -LEO VIONGOZI WA ULAYA WAKUTANA LONDON KWA MKUTANO WA JINSI GANI WATAISAIDIA UKRAINE-MKUTANO WENYE MANUFAA KWA ULAYA LAKINI UNAIPA MAREKANI KUONA NCHI ZA ULAYA ZIPO TOFAUTI NA MAREKANI AMBAPO NI HATARI PIA KWA ULINZI WA ULAYA KUTOKANA MFUMO WAO WA UL8NZI KUWA NATO AMBAPO AMERIKA NDIO MWENYE KUWEKA ULINZI ZAIDI YA ULAYA

Mkutano uliofanyika London China ya WZiri mkuu wa Uingereza,ukiwa na length la kuongeza bajeti ya Ulinzi na kusaidia Ukraine

USA NA UKRAINE WATUNISHIANA MISULI,RAIS WA UKRAINE ALIONDOKA WHITE HOUSE BILA KUSINDIKIZWA NA MGENI WAKE RAIS TRUMP.NI AIBU KWA UKRAINE NA SASA AMERICA WANATAKA RAIS WA UKRAINE AJIUZULU.HUO NI MWANZO WA NGOMA

FACT-CHECK: Trump’s $350B Ukraine Aid Claim – True or False? Trump’s latest claims contradict the official data from US auditing bodies, though the exact figure remains unclear. by Kyiv Post | Feb. 19, 2025, 5:17 pm FACT-CHECK: Trump’s $350B Ukraine Aid Claim – True or False? US President Donald Trump welcomes the NHL 2024 Stanley Cup Champions Florida Panthers to the White House on February 3, 2025 in Washington, DC. (Photo by Jim WATSON /
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS