KAMALA HARRIS SIO KOSA LAKE KUSHINDWA NI BIDEN YEYE NDIYE ALIYECHELEWA KUACHIA MADARAKA HARAKA KWA KUONA ANA UWEZO WA KUONGOZA WAKATI YEYE ALIKUWA ANASAHAU KUJIBU NA UZEE WAKE.NA KUTOKANA NA SERA ZAKE NA CHAMA CHAKE CHA DEMOKRASIA WA AMERIKA WENGI WALIKUWA WAMEISHA CHOKA NA UONGOZI WAKE.
No comments:
Post a Comment