KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Saturday 4 July 2015

SIASA ZA TANZANIA NA SKENDO NI KITU AMBACHO HAKINA NAFASI KWA WANANCHI WAPIGA KURA ILA NI KWA WANAHABARI WANAOANDIKA HABARI .

Tangia nipo mtoto na sasa ni Mtu mzima sijawahi ona kiongozi kaukumiwa kwa kosa la SKENDO kitu hiki kinanifurahisha sana,wanahabari wao ndio maoni yao lakini wapiga kura wanampenda mtu wenye skendo na mwenye skendo ndiye anayeshinda.
Ukiangalia wale watu wote wenye skendo ndio Wabunge na Mawaziri mbali mbali.Tuache zana za skendo tuwafundishe watu wajue tatizo la skendo sio kuwasema watu wenye skendo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS