KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday 15 May 2015

WANAJESHI WALIONGOZA MAPINDUZI WAKAMATWA NA RAIS AREJEA SALAMA KUTOKA TANZANIA

 BURUNDI SASA SHWARI

Rais Pierre Nkurunziza (pichani) yadaiwa amejerea nchini mwake, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokuwa wakijadili mgogoro wa Burundi. Maafisa wa serikali wanasema kurejea nyumbani kwa Rais huyo sasa ni ishara kuwa jaribio la kumpindua limeshindikana. Wakati Rais Nkurunziza akiwasili taarifa za hivi punde zinasema mmoja wa majenerali waliojaribu kuipindua serikali amekiri kuwa jaribio lao linaonekana kuwa limeshindwa Na kujua zaidi taarifa za kurejea nyumbani kwa rais Nkurunziza awali John Solombi alizungumza na Msemaji wa serikali ya Burundi Jevier Abayeho.

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS