KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Tuesday, 17 June 2025

IRAN YATUMA TENA MAKOMBORA TEL AVIV ALARM INALIA NA SASA WATU WAPO KWENYE MAHANDAKI WAMETLIA WAKINGOJEA AMRI YA KUTOKA.SASA SIJUI KWA NINI USA WANASEMA WANASHIKILIA VIZURI ANGA LA IRAN.KAMA WANAMILIKI ANGA LA IRAN INAMAANISHA KILA KOMBORA WATALIONA LINATOKA WAPI NA KUSHWMBULIA HAYA MAENEO KOMBORA LINAPOTOKA

IRAN ANGA LAKE SASA LINAMILIKIWA NA ISRAEL-IRAN ULINZI WAO WA ANGA UMEHARIBIWA KWA HIYOBHAWAWEZI ZAIDI KUZUIA NDEGE ZINAZOSHAMBULIA..KUHUSIANA SILAHA ZILIZOPO KWENYE MAHANDAKI CHINI YA MILIMA,ISRAEL WANA NDEGE NA MAKOMBORA YANAYOITWA GBU-57 YANAYOPENYA KWENYE MIAMBA NA KUINGIA NDANI HATA KAMA KUNA ZENGE AINA GANI.HAYA MAKOMBORA NDIO YALIMTOA SADDAM HUSEIN WA IRAQ BAADA HANDAKI LAKE KUBWA LILILOJENGWA NA WAJERUMANI KUPIGWA NA KUHARIBU MAWASILIANO YOTE YA JESHI NA KUUA WANAJESHI WA KIKOSI MAALUM

TRUMP AREJEA WASHINGTON NA KUKIACHA KIKAO CHA G7 NA KUSEMA YEYE AMEACHA KIKAO KWA SABABU ANATAKA KUSAIDA KUMALIZA VITA VYA IRAN NA ISRAE.USA INASEMA HAIPO KWENYE VITA LAKINI KUNA HABARI ZINASEMA USA IMESEMA ISRAEL HAIWEZI KUMALIZA VITA YENYEWE KWA KUSHAMBULIA MAHANDAKI YA VITUO VYA NYUKLIA

ISRAEL YASEMA IMEFANIKIWA KUKISHAMBULIA KITUO CHA MITAMBO YA NYUKLIA CHA NATANZ KIKIWA KIMEHARIBIKA

VITA ISRAEL NA IRAN MASHAMBULIZI PANDA ZOTE ZIKIJISIFU KUHARIBU MIJI YA ISRAEL NA IRAN.HII VITA NI TISHIO KWA NCHI ZINAZOITISHA ISRAEL

IRAN VS ISRAEL-SASA USA YASEMA WANAFAHAMU ALIPOJIFICHA KIONGOZI WA KIDINI WA IRAN ALI KHAMENEI.NA SASA INATAKA WATU WOTE WALIOPO TEHRAN WAONDOKE HARAKA KWA SABABU MASHAMBULIZI YATAONGEZEKA.ANGA LA IRAN KWA SASA LIPO CHINI YA ISRAEL.

IVITA VITA KATI YA ISRAEL NA IRAN NANI ANA NGUVU ZA KIJESHI.?SRAEL IDADI YA WATU MILION 9 - IRAN IDADI YA WATU NI MILION 90.ANGA LA IRAN LINAMILIKIWA SASA NA ISRAEL KWA TAARIFA ZA SASA NA ISRAEL IMEWAAMBIA WATU WA IRAN WAENDE SEHEMU SALAMA KWA MAANA WATASHAMBULIWA MAENEO YAO.TELEVISION YA TAIFA YAPIGWA NA MAKOMBORA KUTOKA KWENYE NDEGE .VITA BADO INAENDELEA

V
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS