Thursday, 12 June 2025
INDIA JIJI LA AHMEDABADS JIJI LENYE IDADI YA WATU MILION 7,69 .AJALI YA NDEGE ILIYOKUWA IKITOKA INDIA KWENDA LONDON KWENYE UWANJA WA GATWICK WATU 242 WAFARIKI WOTE KWENYE AJALI YA NDEGE,BADO WATU WALIKUWEPO MAJUMBA AMBAPO NDEGE ILIANGUKIA ASA KWENYE CHUO CHA UDAKTALI AMBAPO WANAFUNZI WALIKUWEPO WAKILA CHAKULA CHA MCHANA NA WENGINE WALIKUWA KWENYE MKUTANO.IDADI YA RAIA WALIOKUFA Uingereza ni 53,Ureno ni 7,Canada ni 1 na India ni 169 na wengine baadae wakitajwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment