KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Friday, 24 July 2020

HISTORIA YA MZEE MKAPA AMBAYE AMEFARIKI LEO KATIKA HOSPITAL MOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO 24-07-2020

Historia fupi ya Mzee Mkapa tuanz e na Urais.Alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania kuanzia Mwaka 1995 mpaka mwaka 2005.
Kuzaliwa 1938 Ndanda Masasi kusini mwa Tanzania.
Alisoma shule ya msingi Masasi na kwenda Elimu ya sekondari katika shule ya Pugu alipokuwa akifundisha Mwalimu Julius K Nyerere ambaye alikujja kuwa rais wa kwanza wa Tanzania.
alienda Makerere na kumaliza degree ya kiingereza,pia alienda kwa masomo zaidi katika chuo cha Columbia na kupata Masters katika mambo ya diplomasia ya kimataifa.
Nyazifa alizowahi kufanya ni nyingi kama kuwa Waziri wa Sayansi na teknolojia na elimu ya juu.
Ameshika kazi katika balozi nje ya nchi Canada 1982 na Marekani mwaka 1983 mpaka 1984.
Alikuwa Waziri wa mambo ya nje kutoka 1977 mpaka mwaka 1980 na alirudishwa tena waizara ya mambo ya nje tena mwaka 1984 mpaka 1990.
Mungu aiweke roho ya marehemu Mzee Mkapa peponi Ameni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS