Leo ngoja tuangalie chama CHADEMA CHAMA KILICHOKUWA NA NGUVU YA KUITKISA CCM lakini kwa sasa ni chama kilichopoteza uelekeo ingawaje viongozi wapo ngangari na kuendeleza ukimya ulikuwa mkuu.
Siasa ni mpangilio ulikuwa na maarifa yaliyojipanga na kuendeleza chama pasipo kutumia nguvu na kujikikita katika kampeni vizuri.Kwa wenzetu viongozi wapo kimya hawazungumzii kashfa zinazohusiana na Ruzuku zinahusiana na manyanyaso kwa wanawake wabunge kitu ambacho ni hatari kwa maendeleo ya kazi yoyote ile ni lazima utoe maelezo ya kina na wajumbe au wananchama wakubaliane nawe.
Tukirudi kwenye Ruzuku Mwalimu Nyerere aliwahi sema vyama vingi vitakufa kutokana na Ruzuku je hii Kauli ina ukweli ndani yake au la?tuanze nianze kwa kusema inawezekana,vyama vingi vimekumbwa na uvurugaji wa maendeleo ya chama kutokana na Ruzuku hatuwezi kusema chama fulani kimekula Ruzuku na sasa kinazidi kuzama ila hapana ila kuna maneno na fujo fujo zinazotokana na wajumbe kudai madai yao ikiwa ni sehemu ya posho zao lakini chama kusema hakiwana pesa tumeona na tutazidi kuona.
Pesa za Ruzuku kwenda kwenye malipo kwa sababu chama hakikuwa na pesa nalo ni tatizo.sasa vyama vya upinzani vifanyaje jibu ni gumu basi tusubiri uchaguzi ukiisha tuone matokeo
No comments:
Post a Comment