KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday, 17 February 2019

UTALII NILITEMBELEA MJI MDOGO WA BEDFORD AMBAO UNASIFIKA KWA KUWATOA WAMISIONALI WA KWANZA KUTOKA ULAYA KWENDA AFRIKA

Mji huu ni mji ambao watumishi wengi kutoka Afrika wanapenda sana kupatembelea ni mji unakaribiana na Luton sio mbali una historia nyingi ikiwemo ya watu kutoka denmark walikuja wakifuata mto Great Ouse wakifuata maua na ndege wengi wakiwa kivutio.
Mto huu ulikuwa unasababisha mafuriko sana lakini katika miaka ya 1600 walianza kujenga kingo kuzuia mafuriko miaka ya 1600.Na kuna daraja lilijengwa miaka hiyo ya 1600 linatumika mpaka sasa nami nilipita hapo darajani.
kutokana na sayansi waliweza kujenga kingo na kuziita Old and New Bedford river ni sehemu nzuri sana kwa utalii na tatizo kubwa ni gharama sana kwa maradhi na chakula kwa wageni wengi kufika hapo Bedford.
Nilipewa historia na mwananchi nikiwa kingoni mwa mto napiga picha akaniuliza unatoka wapi unafanya nini hapa na kadhalika tukiwa katika bustani ya maua pembeni ya kingo za mto Ouse.
Asanteni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS