KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Sunday 17 February 2019

SAYANSI YA SASA NI KUWAUMIZA WANANCHI MAANA KILA KUKICHA NI TEKNOLOJIA MPYA NA GHARAMA SIO BEI NDOGO SAMSUNG VS IPHONE NA SASA NI GOOGLE PHONE

 Iphone na Samsung ndizo kampuni zinazoongoza kwa kutoa matoleo mapya ya simu na hivi sasa Samsung anajiandaa kutoa toleo jipya kazi kwetu wateja.
Ukikutana na wataalamu wa simu ukiwauliza nini tofauti kati ya Samsung s8 na s9 jibu lao hii ni kubwa kidogo na camera yake ina nguvu kuliko ile ndio maana ni toleo jipya,swali yaani camera tu ndio imefanya simu iwe bei kubwa na majigambo mengi eti simu bora kuliko zote zilizowahi kutengenezwa lakini baada ya miezi mitatu tena wanatoa simu mpya sasa kazi kwetu wateja.
Google wao wana simu yenye ubora zaidi katika nafasi ya ukubwa na bei yake ilikuwa kubwa kuliko simu zote lakini hawana wateja sana kuliko Iphone na Samsung.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS