TANZANIA NA MPIRA WA MIGUU-TFF NA MH MAKONDA NINI TUFANYE MPIRA WETU UWE NA MAFANIKIO YA HARAKA..MOJA NI KUOMBA WATAALAMU WA MPIRA KUTOKA MISRI NA MOROCCO KUJA KUFUNDISHA MPIRA ILI TUWE NA UWEZO WA KUCHEZA MPIRA DAKIKA 90 NA KUWA NA NGUVU KAMA MOROCCO NA EGYPT NI KWA KUONA MAFANIKIO. YAHIZO TEAM.YANGA NA SIMBA PIA ZIWE NA WACHEZAJI NA MAKOCHA KUTOKA HIZO NCHI ILI KUUBADILISHA MPIRA WETU KWA MIAKA MIWILI AU MIEZI TUNAWEZA KUFIKA MBELE ZAIDI
No comments:
Post a Comment