Monday, 7 November 2022
NDEGE INAPOANGUKA NI LAZIMA UCHUNGUZI UFANYIKE WA KINA ILI KUONDOA WASIWASI KWA NCHI ZINGINE KUAMINI TUPO VIZURI KWENYE SUALA LA USAFIRI WA ANGA.NA HABARI KUBWA DUNIA YOTE NI AJALI YA NDEGE ZIWA VICTORIA TANZANIA YAUA WATU 19,SWALI TANGIA JANA MPAKA SASA WATAALAMU WANANWEZA KUTUPA CHANZO CHA AJALI IKIWA NI TATIZO LA KIUFUNDI KWENYE NDEGE AU WAONGOZA NDEGE UWANJANI KWA MAANA HALI YA HEWA ILIKUWAJE JE WALISHINDWA KUMRUDISHA RUBANI ARUDI ALIKOTOKA AU AENDE MWANZA TUNAHITAJI MAJIBU NA WAHUSIKA WAKAMATWE WALIOSABABISHA AJALI
Tukiwa kwenye Ndege uwa tunamkabidhi Mungu uhai wetu na uwa tunawategemea wanaotuongoza kusafiri ikiwa ni Rubani na waongoza ndege wa liopo Uwanjani kwenye hali ya hewa.Swali linakuja je kama mmowapo muongoza ndege wa chini akitoa taarifa za uongo au alilewa nini kitatokea au hali ya hewa ikiwa ilirekodiwa vibaya nini kitatokea nfahamu ni Ajali
Niliwahi kutembelea Kituo cha hali ya hewa pale uwanja wa ndege Dar es salaam na kukutana na wanavyofanya kazi na kuwauliza maswali na wakaniambia wanakuwa makini sana wakati KLM inapokuja kwa sababu Marubani wanawauliza maswali mengi ili wawe na uahakika wa kutua salama.
Sasa sisi watu wa Precision Air tunayajua hayo au Waziri wetu Mkuu anayafahamu hayo.
Embu Wananchi tujue chanzo cha ajali sio hali ya hewa ilikuwa mbaya na hizi sallamu zimfukie Mkuu wa Mkoa Bwana Chalamila afuatilie ili skata na kujua ni ni kwa kuwauliza wale waongoza ndege uwanjani pale.
Nategemea tutapata ufumbuzi wa kuzuia tena ajali zisitokee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment