SIMAMA TUIMBE
Tuesday, 19 February 2019
NI GHARAMA KUHIFADHI HIVI VYOMBO NDANI KUTOKANA NA NAFASI KUWA NDOGO.
Kwa upande wa vifaa vya ndani katika nchi zilizoendelea ni kuvitoa nje kwa ajili ya watu wengine kuvichukua kwa matumizi yao bila kuambiwa mwizi.Watu wengi wakinunua vifaa vya ndani iwe viti,majiko au friji,vile vya zamani utolewa nje kupisha nafasi kwa vifaa vipya.
Kuna mashirika ya kuwahudumia watu huwa wanachukua na kuvipeleka kwenye ghala zao kwa watu wengine na watu wengine uvifunga na kuvisafirisha nje kwa biashara au vyuma chakavu.
Kila bidhaa ni mali haitupwi jalani.

Sunday, 17 February 2019
UTALII NILITEMBELEA MJI MDOGO WA BEDFORD AMBAO UNASIFIKA KWA KUWATOA WAMISIONALI WA KWANZA KUTOKA ULAYA KWENDA AFRIKA
Mji huu ni mji ambao watumishi wengi kutoka Afrika wanapenda sana kupatembelea ni mji unakaribiana na Luton sio mbali una historia nyingi ikiwemo ya watu kutoka denmark walikuja wakifuata mto Great Ouse wakifuata maua na ndege wengi wakiwa kivutio.
Mto huu ulikuwa unasababisha mafuriko sana lakini katika miaka ya 1600 walianza kujenga kingo kuzuia mafuriko miaka ya 1600.Na kuna daraja lilijengwa miaka hiyo ya 1600 linatumika mpaka sasa nami nilipita hapo darajani.
kutokana na sayansi waliweza kujenga kingo na kuziita Old and New Bedford river ni sehemu nzuri sana kwa utalii na tatizo kubwa ni gharama sana kwa maradhi na chakula kwa wageni wengi kufika hapo Bedford.
Nilipewa historia na mwananchi nikiwa kingoni mwa mto napiga picha akaniuliza unatoka wapi unafanya nini hapa na kadhalika tukiwa katika bustani ya maua pembeni ya kingo za mto Ouse.
Asanteni.

SAYANSI YA SASA NI KUWAUMIZA WANANCHI MAANA KILA KUKICHA NI TEKNOLOJIA MPYA NA GHARAMA SIO BEI NDOGO SAMSUNG VS IPHONE NA SASA NI GOOGLE PHONE
Iphone na Samsung ndizo kampuni zinazoongoza kwa kutoa matoleo mapya ya simu na hivi sasa Samsung anajiandaa kutoa toleo jipya kazi kwetu wateja.
Ukikutana na wataalamu wa simu ukiwauliza nini tofauti kati ya Samsung s8 na s9 jibu lao hii ni kubwa kidogo na camera yake ina nguvu kuliko ile ndio maana ni toleo jipya,swali yaani camera tu ndio imefanya simu iwe bei kubwa na majigambo mengi eti simu bora kuliko zote zilizowahi kutengenezwa lakini baada ya miezi mitatu tena wanatoa simu mpya sasa kazi kwetu wateja.
Google wao wana simu yenye ubora zaidi katika nafasi ya ukubwa na bei yake ilikuwa kubwa kuliko simu zote lakini hawana wateja sana kuliko Iphone na Samsung. Wednesday, 13 February 2019
Subscribe to:
Posts (Atom)