Rais Pierre Nkurunziza (pichani) yadaiwa amejerea nchini mwake, baada
ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa nchini Tanzania kuhudhuria
kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokuwa wakijadili
mgogoro wa Burundi.
Maafisa wa serikali wanasema kurejea nyumbani kwa Rais huyo sasa ni
ishara kuwa jaribio la kumpindua limeshindikana.
Wakati Rais Nkurunziza akiwasili taarifa za hivi punde zinasema mmoja wa
majenerali waliojaribu kuipindua serikali amekiri kuwa jaribio lao
linaonekana kuwa limeshindwa
Na kujua zaidi taarifa za kurejea nyumbani kwa rais Nkurunziza awali
John Solombi alizungumza na Msemaji wa serikali ya Burundi Jevier
Abayeho.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

No comments:
Post a Comment