Foleni kubwa kwa Wageni wa kutoka nchi za jumuia ya Ulaya wakingojea kuingia Uingereza.Waingereza wao hawataki wageni kutoka jumuia ya Ulaya kwa sababu wanadai Ruzuku na hawafanyi kazi.
Wageni wanawake wajawazito wameisha rudishwa kwao kwa kuwa Wajawazito ni wanawake 300 mpaka sasa wamerudishwa wakiofiwa kwamba wanataka huduma za bure za NHS na ruzuku.
No comments:
Post a Comment