Jiwe lililopo Jijini Iringa kwenye barabara iendayo Dodoma linajilikana kama Jiwe la Igeleke ni utalii tosha kwa serikali kuweka kumbukumbu na kuliwekea mazingira safi ya Utalii.
Historia niliyonayo hii sehemu ina mawe mengi na rafiki Selemani aliwahi nionyesha Quartz yenye mchongo kama wa Kalamu ya penseli kutoka maeneo hayo ni kitambo kidogo,sehemu ya uwanja wa ndege wa Nduli ni ukanda huu walikuwa na shamba la mahindi.Kuna Historia nzuri sana ya hii sehemu inasadikiwa na Almasi zipo hii sehemu kutokana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye mashamba ya Tumbaku ya wagiriki.
No comments:
Post a Comment