Thursday, 30 January 2014
Wednesday, 29 January 2014
Monday, 13 January 2014
Thursday, 9 January 2014
Monday, 6 January 2014
Sunday, 5 January 2014
EUSEBIO MACHINGA WA MSUMBIJI AFARIKI DUNIA MIAKA 71 YA UHAI WAKE.ALIZALIWA MSUMBIJI KISHA AKAENDA URENO KUCHEZA MPIRA NA KUWA NYOTA .
Nikiwa nafahamu Mmachinga wa Msumbiji Eusebio alizaliwa Msumbiji 25-01-1942 na kwenda Ureno akawa mchezaji kwenye timu ya Benfica akapata zawadi ya viatu vya dhahabu na kuchukua vikombe mara 11.Hapa ndipo umaarufu wa Eusebio unapofahamika.
Pele akimkabidhi Eusebio jezi yenye majina ya wachezaji kwa kumuenzi umaarufu wake.Saturday, 4 January 2014
IRINGA MJI WENYE MAWE MENGI NA NI KIVUTIO KWA WAGENI WATALII AU WAFANYAKAZI WA MASHIRIKA YA KIGENI WAKIJA WANAPENDA KUTEMBEA KWA NINI?JIBU NI ASILI YAO KUTEMBEA POLINI NA KUANGALIA MAZINGIRA SISI NI WATU WA STAREHE WA KUKAA KIVULINI
Jiwe lililopo Jijini Iringa kwenye barabara iendayo Dodoma linajilikana kama Jiwe la Igeleke ni utalii tosha kwa serikali kuweka kumbukumbu na kuliwekea mazingira safi ya Utalii.
Historia niliyonayo hii sehemu ina mawe mengi na rafiki Selemani aliwahi nionyesha Quartz yenye mchongo kama wa Kalamu ya penseli kutoka maeneo hayo ni kitambo kidogo,sehemu ya uwanja wa ndege wa Nduli ni ukanda huu walikuwa na shamba la mahindi.Kuna Historia nzuri sana ya hii sehemu inasadikiwa na Almasi zipo hii sehemu kutokana na wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi kwenye mashamba ya Tumbaku ya wagiriki.
DK MGIMWA ARUDI NYUMBANI KWA SAFARI YA MWISHO DUNIANI.RATIBA YA MAZISHI
Ratiba ya Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Marehemu Dkt. William A. Mgimwa
Siku & Tarehe
|
Muda
|
Tukio
|
Mhusika
|
Jumamosi
4 Januari, 2014
|
7:30
|
Mwili kuwasili JNIA
| |
7:30 – 7:40
|
Kuutambua mwili na kukamilisha taratibu za uhamiaji
|
Bwana Bunare wa HAZINA na Mwanafamilia
| |
7:30 - 7:40
|
Kumpokea mjane kutoka kwenye ndege kwenda VIP
|
Kaimu
Waziri wa Fedha; Mwenyekiti wa Kamati; Mhe. Sophia Simba; Katibu Mkuu
NJE; Balozi wa Tanzania Afrika ya Kusini; Monica Mwamunyange;
Wanafamilia watatu
| |
7:40 – 8:00
|
Mwili kubebwa na kuwekwa kwenye gari
|
Waombolezaji
| |
8:00 – 8:30
|
Msafara kuelekea nyumbani
|
Kamati
| |
8:30 – 10:00
|
Ibada ya Misa Takatifu nyumbani
|
Padre
| |
10:00 – 10:30
|
Mwili kupelekwa Hospitali ya Lugalo
|
Kamati na Familia
| |
10:30 – 12:00
|
Viongozi wa Kitaifa kutoa pole kwa familia
|
Mhe. Janeth Mbene na Kamati
| |
Jumapili
5 Januari, 2014
|
2:00 – 4:00
|
Kifungua kinywa nyumbani kwa marehemu
|
Kamati
|
4:30
|
Waombolezaji kuwasili Viwanja vya karimjee
|
Kamati na Wanafamilia
| |
5:00
|
Mwili kuwasili viwanja vya Karimjee
|
Kamati
| |
5:45
|
Mhe. Makamu wa Rais kuwasili Karimjee
|
Kamati
| |
6:00
|
Mhe. Rais kuwasili Karimjee
|
Kamati
| |
6:00 – 6:20
|
Ibada fupi
|
Padre
| |
6:20 – 6:25
|
Wasifu wa marehemu
|
Katibu Mkuu – HAZINA
| |
6:25 – 6:30
|
Salamu za rambi rambi
|
Waziri wa Fedha wa Uganda kwa niaba ya Mawaziri wa Fedha Afrika Mashariki
| |
6:30 – 6:35
|
Salamu za rambi rambi
|
Mwakilishi wa Washirika wa Maendeleo (DPs)
| |
6:35 – 6:40
|
Salamu za rambi rambi
|
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni kwa niaba ya Vyama vya Upinzani
| |
6:40 – 6:45
|
Salamu za rambi rambi
|
Kiongozi wa CCM Bungeni
| |
6:45 – 6:55
|
Salamu za Bunge
|
Spika wa Bunge
| |
6:55 – 7:00
|
Salamu za rambi rambi
|
Waziri wa Fedha, Zanzibar
| |
7:00 – 7:05
|
Salamu za rambi rambi
|
Kaimu Waziri wa Fedha SMT
| |
7:05 – 7:10
|
Shukrani
|
Mwakilishi wa Familia
| |
7:10 – 7:15
|
Hitimisho
|
Mwenyekiti wa Kamati
| |
7:15 – 8:00
|
Kutoa Heshima za mwisho
|
Kamati
| |
8:00 – 8:40
|
Kuelekea Uwanja wa Ndege
|
Wanaosafiri
| |
10.00-11.00
|
Mwili kuwasili uwanja wa ndege wa Nduli Iringa na kuelekea katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo kwa heshima za Mwisho
|
Mkuu wa Mkoa na Kamati
| |
11.00
|
Mwili kuelekea Kijijini Magunga
|
Mjane wa Dr Mgimwa akisindikizwa na viongozi wa serikali uwanja wa ndege baada ya kutoka Afrika Kusini akiwa na majonzi Mungu ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwa Familia.
Subscribe to:
Posts (Atom)