KARIBU SANA TOSA MAWE BLOG KWA HABARI MBALIMBALI TOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA PIA TUTUMIE HABARI MATUKIO KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU: +447896103988 +447438590583 | E-mail: mwamfilingef@gmail.com NYOTE MNAKARIBISHWA SANA ASANTENI . | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

Monday, 7 April 2025

CHADEMA NA CCM WANACHEZEA MOTO NA MOTO WENYEWE NI WATU WA CCM KUONA KUPO SAWA WASOMI NA WATU WA DINI KUKAA KIMYANI SAWA LAKINI DAI LA CHADEMA LA NO REFORMS NO ELECTION SIO DOGO NI KUBWA NA MATATIZO YAKE YATAKUJA KUWA HASARA KWA TAIFA KWA BAADAE NA ASA UTAWALA HUU WA TRUMP NA EU TUSUBIRI

Kwenye nchi yesterday mafanikio kama Tanzania tunahitaji kuyalinda na kuyaweka sawa mambo ya having watu,Vyama via siasa kwa sababu kutengwa na nchi za magharibi ni raising sana Ona Sudan ya Kusini Wamezuiwa watu wrote kutoka South Sudan kwenda USA,kwa mtu mwingine anaweza kusema USA kuna nine kwani,kumbe hahaha u kuna Umoja wa mataifa na biashara nyingi zinapitia pale. Sasa sis Tanzania Leo tufungiwe kwenda USA na nchi Zinedine za magharibi kwa sababu ya Tume hurt ya uchaguzi so vichekesho. We zeta Kenya wanaTume huru kwa nine tusifuate has wenzetu jirani.
Huu utawala unatufundisha tuwe na adabu tuheshimu sheria so kujiona tupo salama waiting wananchi wanajichukulia sheria mikononi.
Kiongozi huyu ni kiongozi anayetakiwa kusikilizwa kwa sababu anachodai ni haki yake na wafuasi wake,Serikali inasmuch madaraka makubwa lakini kwa kuwaonea wapinzani ni kuvunja sheria ambayo I atacama na nchi nyingi Duncan.Muhimu tusije kuwekewa vikwazo viongozi na wananchi na Kuhatribu Uchumi wetu kwa kutaka msdaraka yasio hitajika na wananchi. Asanteni sana,ni Maori yangu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
KUPATA HABARI ZILIZOPITA BONYEZA OLDER POSTS