Saturday, 27 December 2014
JUMBOJET YA ETIHAD YAFUNGULIWA RASMI IMEANZA SAFARI ZAKE KUTOKA LONDON TO ABU DHABI INA NYUMBA MBILI NDANI YAANI UNAKAA NDANI KAMA UPO NYUMBANI LAKINI BEI YAKE NI MILIONI 28,000,000 KWA SAFARI MOJA.NDEGE HII INACHUKUA ABIRIA 498,NYUMBA MBILI NDANI,FIRST CLASS 9,BUSINESS CLASS 70 NA 417 ECONOMY CLASS
Tuesday, 23 December 2014
RAIS AHUTUBIA WAZEE WA DAR ES SALAAM
Hapa Rais akiwaambia Wazee Poeni nyie ndio wenyewe hawa watu wa Bara kelele nitawaondoa kazi kama nilivyowapa nani ana nguvu kushinda Mimi Wazee hoya hoya kijana
Sasa namwanzishia huyo Proooo haondoke hana maadili ya kazi za serikali Rungu Pwaaaaa
Kingunge mkubwa naye anafurahia Proooo kupigwa nje Saturday, 20 December 2014
Wednesday, 17 December 2014
IRINGA CHADEMA YASHINDA KATA 13 BAADA YA MARUDIO YA KURA.SASA KAZI KWAO CCM
WAKATI
jana wananchi wa mitaa 11 katika manispaa ya Iringa wamefanya
marudio ya uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha demokrasia na
maendeleo (Chadema) kimefanikiwa kukizika rasmi chama cha mapinduzi
(CCM) baada ya kuibuka kifua mbele katika mitaa yote ukiwemo
mtaa nyeti wa ofisi ya mkuu wa mkoa na ofisi ya CCM mkoa.
Ushindi huu kwa chadema umeelezwa kuwa ni wa kimbunga na ni kipimo kwa CCM kujitathimini baada ya Chadema kuonyesha kufanya kufuru hiyo kwa kuchukua mtaa hadi wa makao makuu ya CCM..
Ushindi huu kwa chadema umeelezwa kuwa ni wa kimbunga na ni kipimo kwa CCM kujitathimini baada ya Chadema kuonyesha kufanya kufuru hiyo kwa kuchukua mtaa hadi wa makao makuu ya CCM..
Tuesday, 16 December 2014
HHARON MONSI AHITINGISHA AUSTRALIA SYDNEY KWA MASAA 16 GAIDI LILILO KUWA NA KESI ZAIDI 47.HARON ANAJULIKANA KAMA MNAJIMU NA MGANGA WA KUANGALIA NYOTA ALIONEKANA KAMA SIO TISHIO KWA AUSTRALIA SASA MWISHO WAKE UMEFIKA NI FUNZO KWA NCHI ZINGINE
Haron Monsi mkimbizi aliyeingia Australia mwaka 1996 na kupinga serikali ya Australia kupeleka wanajeshi wake Afghanistani,juzi aliteka Hoteli na wateja wa Hotel zaidi ya masaa 16 kisha kuuwawa na polisi na watu wawili kufariki ni pigo kwa wananchi wa Australia
Mwanamke akikimbia baada ya kutoroka kutoka kwa gaidi aliyewateka ndani ya Hotel jijini Sydney.Thursday, 11 December 2014
WAZIRI HAKANA KUCHANGIA ELFU 15,000 KWELI HAIWEZEKANI KWA WAZIRI ANALIPWA PESA NYINGI KUCHANGIA ELFU 15.HIZO NI SIASA CHAFU
Aidha, Mheshimiwa waziri wangu Chana ambae ndiye Wizara yake inahusika na
watoto, kwa kuliona tatizo hilo la vyumba vya madarasa kuezuliwa alionyesha
kuguswa zaidi na hata kuwa kiongozi wa kwanza kuanza kuchangia mchango kwa ajili
ya harambee ya ujenzi wa vyumba hivyo kwa kuchangia kiasi cha Tsh 15,000/=
kupitia kwa mkuu wa shule hiyo Agnes Mageza ambaye pia kulingana na utaratibu wa
ukusanyaji wa fedha hizo na kuepuka matumizi yasiyotarajiwa na fedha za maafa,
alilazimika kuzipeleka fedha hizo kwa Afisa Mtendaji wa kijiji ili kuzihifadhi
kwa taratibu na kutoa stakabadhi kwa kila mchangiaji kama ilivyo taratibu za
upokeaji wa fedha za michago mbalimbali.
Tuesday, 2 December 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)